Video
 hii imefanyika kwenye ardhi ya Uhuru Kenyata 254 na imeongozwa na 
Director Nick Dizo ambaye pia kashiriki kuziongoza video kadhaa za Bongo
 Fleva ikiwemo Nishike Mkoni ya D knob.Barnaba katanguliza picha hizi ambazo zinaashiria kukamilika kwa video ya wimbo huo.





MAONI


No comments:
Post a Comment