FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Saturday 19 July 2014

NOMA KWELI, INAKUAJE DADA HUYU PICHA KAMA HII TENA OFISINI! TAZAMA HAPA


Hivi unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena ndani ya Ofisi. na Kuamua kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na kuwafanya wale waliokupa mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo kuwafanya walikosea kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa kuwepo hapo Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.

No comments:

Adbox