FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 13 July 2014

Nifanyeje matako yasitingishike Nitembeapo

Mimi ni binti wa miaka 21 kwa sasa, naandika hili kuwaomba wadau ushauri..umbo langu kidogo lina utata hasa maeneo ya makalio ki fupi nimejaliwa sana sijisifii ...pamoja na kujaliwa huko nimekuwa napata shida sana ninapokuwa naenda mahali kutembea ama chuoni maungo yangu ya nyuma hutikisika sana kiasi kwamba huamsha hisia za wapita njia za zingine mpaka nimepunguza mizunguko kwa ajili hiyo ....je nifanyanyeje ili yasitingishike nitembeapo
Post a Comment
Adbox