FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Tuesday 8 July 2014

NEWZ ALERT!!! BOMU JINGINE ARUSHA USIKU WA LEO!! JESHI LA POLISI LASHIDWA KUTIMIZA WAJIBU WAKE!!

Bomu limerushwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki na kujeruhi watu zaidi ya wanane waliokuwa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vema.
Hii hali sasa taratibu inaanza kuwa mbaya, jeshi letu la polisi liko likizo, mambo yatakuwa mabaya kama kenya na uganda si muda!




No comments:

Adbox