FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Tuesday, 15 July 2014

MPAKA SASA VIDEO YA MDOGO MDOGO NDIO INAYOONGOZA KWA KUANGALIWA ZAIDI YOUTUBE, SOMA ZAIDI HAPA

Zimepita siku 10 tangia Mkali wa Bongo Fleva hapa tanzania Diamond Platnumz kuachia Video zake Mbili hewani. Tukiwa tunafuatilia kwa karibu ni Video ipi imeonekana kupendwa na kuangaliwa sana katika mtandao wa Youtube.
Video ya Mdogo mdogo ndiyo kwa sasa inaoyoongoza kwa kuangaliwa na Watu wengi kutoka ndani na Nje ya Tanzania ikiwa imefikisha zaidi ya Views 216,336 huku video ya BumBum
Aliyomshirikisha Iyanya ikiwa ina Views 124,014 na zaidi, Sasa hii inaonyesha kuwa video ya mdogomdogo ndiyo inayoongozwa kwa kupendwa na kuangaliwa na watu wengi zaidi kwenye chanell hiyo
Post a Comment
Adbox