FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday 10 July 2014

KWA WALE WAPENZI WA RIHANNA HII ITAKUWA INAWAHUSU....KANGUO ALIKOVA NI AIBU TUPU


BONYEZA HAPA ILI KUPATA UMBEA ZAIDI WA MASTAA

Huyu dada bana yaani haishiwi vituko kila kukicha, hivi nikimfananisha na msanii Lulu nitakuwa nakosea? Naona kama wanaendana swaga hivi kwani naye haishiwi vituko kila kukicha.
Eti huu ndo mtoko wake wa club, hebu ngalia picha zake zaidi hapa chini.



Wacha wee....hebu mwone huyu mtoto.


Ayaaaa.... laana kabisa. Ni shida eti...looh!

No comments:

Adbox