FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 6 July 2014

KIBAKA ATUNDIKWA JUU YA MTI BAADA YA KUNASWA AKIIBA FUNGUO ZA DALADALA GEREJI JIJINI MBEYA.


Kijana mmoja  ambaye hakujulikana jina   mara  moja   amejikuta  akionja  machungu  ya  hasira  za  wananchi  baada  ya  kutundikwa  mtini  na  kuning’inizwa  akituhumiwa  kukwapua  funguo  za  daladala  moja  iliyokuwa  ndani  ya  Gereji  moja  iliyoko  mitaa  ya  Soweto  jijini  Mbeya.
Post a Comment
Adbox