FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday, 25 July 2014

JE WAJUA DIAMOND ALICOPY IDEA YA VIDEO YA DAVIDO AKAITUMIA KWENYE MDOGOMDOGO???? USHAHIDI HUU HAPA


Japo nyimbo hz mbili zna maana tofauti,lakin zote zmepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na story ya video hz mbili ni ile ile!sema mkali diamond ktk sehemu ya familia ya mfalme ametupia wazungu,lakn mwisho wa siku wote waliopoa mabint wa kifalme na kuwachezesha midundiko ya kiasili!chukua hyo......!tazama vdeo zote mbili vzur ndo uje kuanza kubisha! tunakopy kidigital siku hizi,chezea diamond wewe!
Post a Comment
Adbox