FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday 25 July 2014

HATIMAE ROMA ATIMIZA AHADI YAKE YA KURECORD SHAROBARO RECORDS BAADA YA BRAZIL KUFUNGWA


Katika kitu ambacho hakikutegemewa kabisa kutokea licha ya yeye mwenyewe kuweka ahadi, ni Roma kuingia ndani ya Sharobaro Records na kufanya kazi na producer Bob Junior. Lakini amini usiamini Roma amekamilisha ahadi yake na ameingia Sharobaro Records na ku record na Bob Jr.Wiki mbili zilizopita wakati mchezo wa fainali za kombe la dunia zikiendelea, wakati Brazil na Argentina zikiwa uwanjani, Msanii wa Hiphop ambae kazi zake nyingi hufanyika Tongwe Records Roma, alipost picha yenye maneno yanayosema


matokeo yake Brazil wakachapwa tena goli 7 kwa 1, kwa kipigo kile kitakatifu Roma hakutaka kuzungumzia ishu hiyo hata baada ya kupigiwa simu.
Lakini jana Roma alipost picha akiwa na Bob Jr ndana ya studio za Sharobaro na kuandika
Real NINJA always lay...on his words!! Xo am xtand on ma' words!!!! Last nyt baada ya ftari tu...nikapiga ndefu hadi TONGWE nikagonga ngoma moja na #josmtambo#  Kisha nikamchukua producer wangu wa TONGWE REC...tukaenda wote kwa BOB JUNIOR!! SHAROBARO REC!! Wakakaa kiti kimoja.... Bob junior(sharobaro rec)+ geof master(tongwe rec)!!!===== Wakagonga BEAT!!! Guess what.......!!! We makin history!!
Kwa upande wake bob jr yeye amesema 
ilikuwa poa kabisa kwasababu kaja moja kwa moja nimemsikilizisha beat alikuja na idea yake kabla sijamsikilisha beat, lakini nilipomsikilizisha beat idea yake akaiweka pembeni kakubali sana nilichokifanya, wimbo unaitwa maumivu, ni bonge moja la ngoma. hii ngoma mi nimeimba chorus ye anachana halafu kwenye verce tunajibishana ye akichana mi naimba kwahiyo mungu akijaalia wiki ijayo itatoka....endelea kumsikiliza hapo chini

No comments:

Adbox