FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday 10 July 2014

FLORA LYMO AMNANGA WILIAM MALECELA AKA LEMUTUZ KWA KULAZIMISHA KUPIGA PICHA NA MADEMU | PARTY 1


 
Lemutumbaz''
bila hata aibu kapost hii picha yake ya pamoja na shilole kwenye kile
kiblognuka chake'' aibuuuu'' sasa wewe na akili zako timamu utapost vipi picha
kama hii? na kujiringishia you are live''' and so on and on? ikiwa watu aka
mabebez wakujilazimishia picha za pamoja hawataki ''wewe kajidondoshe
baharini''mbuta nanga'' ni shida!!yani hapa hii picha haitakiwi wala niiongezee
maneno maana inasema wazi kwamba shilole hataki kumsikia wala kumuona na tena

picha hii alidhani kwamba ange delete maana kafunga macho''lakini mlazimishaji
yeye bado bila aibu kairusha live mitandaoni '' ili mradi aonekane nae yumo''
achiangazi babu tafuta namna ya kurudi marekani ukatunze mkeo na watoto
''ulowakimbia kule'' yani ni laana tupu lijibabu kukimbia watoto wake alowazaa''i
wonder who will ever take that serious risk yakuolewa au hata kuzaa na wewe
jibabu lakukimbia watoto wake'' huku hata kazi halina na bado linaishi kwa baba

No comments:

Adbox