FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday 3 July 2014

EXCLUSIVE AUDIO: TUMENASA SAUTI ZA DJ FETY, ADAMU MCHOVU NA B12 WAKIDUNDANA STUDIO HUKU WAKISAHAU KUWA WAPO HEWANI LIVE MCHANA HUU


 Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea mda huu kwenye kipindi cha xxl..  sikiliza hapa



Inshu nzima  iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?

 Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta 

 Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza

 Kikanuka zaidi!

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 

Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...

Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa

Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani..

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?


BOFYA HAPA KUSIKILIZA

No comments:

Adbox