
Baada ya waalikwa kuftur kwa pamoja ndani ya THT na Lina kutambulisha
audio pamoja na video ya wimbo wake mpya "Ole Themba" , watu waliokuwa
wamekusanyika nje huku kila mmoja akijiandaa kuondoka, baada ya kumuona
Shetta na kukumbuka kuwa ni siku yake ya kuzaliwa, kichofata ni
kumwagiwa maji bila mwenyewe kujua, lakini haikuishia hapo, msanii Queen
Darlin ndio alifunga kazi kwa kuchukua nafasi ile na kummwagia uji
uliokuwa umebaki baada ya ftari...tazama video hapo chini..Happy
birthday Shettahttps://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=dI3omaGKeZs
No comments:
Post a Comment