FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 6 July 2014

CHADEMA IMEHAMA KWENYE RELI, IMEBAKI KUISHAMBULIA ACT BADALA YA CCM. IMEPOROMOKA 77%


 
Kwa lugha rahisi ya sasa hivi ni kwamba chadema imechepuka na mchepuko wake ni ACT. Nakihurumia sana hiki chama. Makada wake wanatumia muda mwingi sana kuishambulia ACT na viongozi wake huku wakiacha masuala nyeti ya taifa hili yakiwa "untouched". ...maadui wao wakubwa hivi sasa ni mwigamba,zitto,na kitila et al.

Agenda sensitive kama vile uchaguzi wa serikali za mitaa wameiacha.kuboreshwa Daftari la mpiga kura,ufisadi nk sasa sio agenda yao tena...wamehama kwenye reli.

Hizo hoja hapo juu ndio zimekiporomosha hiki chama kwa 77%, hivi sasa kimebaki hapa jf na kwa viongozi wake. Leo hii huwezi ukapita mtaani ukamwambia mtu peoplesss!!!! Akajibu confidently..poweeeeerrrrr!!!! ! Haipo tena hususan tangu the zitto et al saga imeanza..imekolezwa chumvi na ukawa na hivi karibuni na wajumbe 82 na the most currently na msajili..kwa sababu kila chadema wanapojitahidi kujibu hoja kwenye media zinakuwa nyepesi,zilizojaa matusi,kejeli na uwongo mwingi, hawajikiti kwenye mada husika.

Ushauri kwa chadema 2015 ileeee kwenye kona
Ushauri kwa ACT enezeni sera za chama chenu,fanyeni ziara mikoani,ile ajali isiwadhoofishe
Ushauri kwa ccm...adui muombee njaa..tumieni hii fursa ipasavyo
Ushauri kwa cuf/nccr ....pigeni ndogondogo,chadema inasinyaa.
Post a Comment
Adbox