FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Tuesday 8 July 2014

BASI UNAAMBIWA HAUTAGA WAKUTA DIAMOND NA ALIKIBA WAKIWA HIVI HATA SIKU MOJA

.


Wazungu wanasema picha huongea maneno elfu moja, hii ni kabla Diamond hajanza kugeuka kuwa sukari ya warembo na wakati huo Kiba ndio akiwa ndio talk of the town, hapa ni kabla hata mambo ya mabifu hayakuwepo, wakati mambo yalikuwa shwari kabisa..ila kwa hivi sasa bado ni ndoto kupata picha kama hii wawili hawa wakiwa pamoja

No comments:

Adbox