TOKA INBOX]
JIHADHARI
NA HUYU MTU....
Mnamo trh 27 nilitumiwa ujumbe inbox na mtu (msichana)aliyejitambulisha(kwa lugha
ya kiingeleza) kwa jina la ANITA DIDIER akidai amevutiwa na profile
yangu na kutaka tuwe marafiki,kisha akanipa email address ili tuwe tuwe
tunachat private...mm nikaona nimepata ngekewa nikamtumia mail kwenye
address alonipa baada ya cku moja(trh 28)akanijibu kwa email akidai
amefurahi xna kujuana na mm na angependa tuwe na mahusiano ya
karibu,kisha akanitumia picha yake akiwa ktk poz la kirembo naye
akaniomba nimtumie picha yangu...haraka nami nikamtumia picha yangu
ambapo alinisifia kuwa mm ni HB hali iliyonifanya nijiona mm ndo mm,
kisha akasema kuwa kuna project anataka kunishilikisha nami bila
pingamizi nikakubali....
Baada ya cku moja akanitumia email kunipa mkakat wake huo........alisema
kuwa yy ni mkimbizi kutoka ivory cost na sasa yupo senegal ktk kambi ya
wakimbizi(refugee camp) chini ya uwangaliz wa father revaad,baba yke
aliuwawa na waasi wakat wa vita nchini ivory cost,na mama na wadogo zake
walipewa sumu baada ya baba yke kufa,akanambia kuwa baba yke alikuwa
mwanasiasa maarufu na tajiri akiitwa PROF J. DIDIER na aliacha pesa
zipatazo 2.7 million $, na anaomba mm nimsaidie kuziamisha pesa hizo
kutoka akaunt iliyopo UK kuja kwenye akaunti yangu TANZania,so
akaniomba namba ya akaunti yngu....hapo ndipo machale yaponicheza
nikamdanganya namtumia kisha nikaingia google na kuanza kumsearch hapo
nikakuta kuwa huyu ni tapeli la kimataifa na anatumia majina kibao na
email kibao kama vilae ANGELA/ANITA/MARRY/KHARIFA lakn jina lake halisi
ni SIMON ABUCHI ni MNAIGERIA na mwizi wamtandaoni(haCKER) au SCAMMER na
anatafutwa kote duniani kwa kuchafua jina la benk ya HALIFAX FINANCE
MANAGEMANT BANK OF LONDON....amboko udai eti ndo hizo pesa zipo so
kuweni makini jaman..hasa wvulana coz antumia picha za wasichana walembo
kuwanasa wanaume wenye uchu km mm akidai kuwa endapo pesa zitapatikan
No comments:
Post a Comment