FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 11 June 2014

Semeni Sana ila Nimeamua Nitakwenda na Tattoo ya Shilole Kaburini-Nuhu Mziwanda


Jana Tuliweka Habari na Picha Kuhusu Mchumba wa Shilole Anajulikana kama Nuhu Kujichora Tattoo Mkononi ya Jina la Shilole "Shishibaby" Leo Amesema Hajali na yuko IN LOVE he can do anything for Love ..Yupo Radhi Kuzikwa na Tattoo ya Shilole ...
Mnasema Semeni Sana Mtu Yupo In LOVE ......

No comments:

Adbox