
Jack Ambaye ni mke halali wa Bw. Gadner Dibibi na shosti wake Rose nae yuko mbioni kufunga ndoa na msanii wa Bongo Fleva Mariki Bandawe ambae tayari ameshamchumbia hivi karibuni na kutoa Posa. Habari za kupatikana kwa Wema Sepetu kumuuliza kama na yeye amerudi kwenye kundi lao ilo zimegonga mwamba lakini tutawajuza hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment