Mwanadada Rihanna amehare nasi picha akiwa anakula GUDI TAIMU na mtoto wa ndugu yake Noella Alstrom aliejifungua mwanzoni mwa mwezi huu...Ukiziangalia kwa makini utagundua kuwa Rihana ameamua kutuonyesha upande wa pili wa jinsi gani anewaza kuwa mama....kwani picha hizi zaidi ya KUMI zimeonyesha akimuhudumia mtoto kila kitu......Sasa wadaku wahisi kuwa labda Rihana anatalajia kuwa na mtoto wake siku za hivi karibuni....hii inatokana na ujumbe aliokiwa akiuandika kwenye picha hizo....

No comments:
Post a Comment