
Kweli Dunia ina mambo. Hivi karibuni kulitokea msiba wa Mama yake Zitto
Kabwe huko Kigoma lakini jambo la kushangaza viongozi wa juu wa Chadema
akiwemo Freeman Mbowe hawakuweza kuhudhuria lakini la kushangaza leo
ameweza kuhudhuria harusi ya Joshua Nassari huko Arusha.
Kutokana na hili unapata picha gani juu ya Chadema na viongozi wake?


No comments:
Post a Comment