Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika
wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti
mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu.Ni maneno yake lady jaydee akizungumza na jogoomtundu leo hii kuhusu izi habari zilizo sambaa kwa kasi kuwa kampigia magoti mpenzi wake walio achana RUGE, kumbe habari walizusha tu.

No comments:
Post a Comment