FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Monday, 16 June 2014

KWA MARA YA KWANZA WEMA SEPETU AONGELEA KUHUSU UJAUZITO WAKE, SOMA HAPA


mchumba wa Diamond, Wema Sepetu amezunguzmia taarifa zilizotolewa na baadhi ya mitandao kuwa ana ujauzito.

Wema amezikana taarifa leo hizo kupitia Instagram:
Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi wangu…
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Adbox