Daah kama unavyojua tena kwenye BLOG hii itikadi yetu nikukuletea Mastori HOT ya WAREMBO tu..yaani watoto wenye Maumbo Mazuri Mazuri aka MIZIGO...hehhe namkumbuka Sheikh wangu mmoja mzee wa MIZIGO...maarufu kama KIPOOZEO (nadhani wengi tunamfahamu...kamtafute YUTYUBU)
BACK TO THE TOPIC: Mwanamama K-LYININ kama mnavyojua kwasasa haishi hapa
BONGO (wambea wa mjini wamenipa habari hizi) makazi ameyahamishia huko
kwa MADIBA yaaani SOUZI AFRIKA...Siku za huvi karibuni BLOG hii
iliandika STORY juu ya BEI ya kiatu chake [SOMA HAPA]...Sasa leo jionee Mahali anapoishi.......
Kupitia ukirasa wake wa INSTAGRAM wanamama huyu ameshare nasi VIDEO CLIP
ndogo ikionyesha LI HOTELI ambalo inasemekana ndipo anapoishi (ITAKUWA
NI 8 STAA)..
No comments:
Post a Comment