
Kama kawaida wenzetu wapo mbele na huwa FASHENI nyingi za kuvaa,
kunyoa, kuongea,kutembea na LAIFU STAILI kwa ujumla tunaiga toka
STETI....Sioni ajabu kwa mwanadada Jokate kuiga mtindo wa Nywele za
Mwana mama BEYONCE ambazo aliweka wiki mbilizilizopita.....[ZIONE HAPA]
Hongera sana JOKATE umeonyesha njia!!!


No comments:
Post a Comment