Stori: waandishi wetu
CHUKI tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya mama mzazi wa mrembo huyo, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii kitu ambacho kilimshtusha na kujikuta akipoteza fahamu (kuzimiainatoka uk.1

Diva katika tasnia ya filamu Bongo Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’.
Akizungumza
na Risasi Mchanganyiko, mmoja wa marafiki zake wa karibu ambaye aliomba
chondechonde asitajwe gazetini alisema kwamba, mara ya mwisho kuona
chozi la Wema ni siku ya msiba wa marehemu baba yake, mzee Isaac Sepetu
lakini hili lilizidi kilio kile kwani ni tukio la udhalilishaji kwa
mzazi wake huyo hivyo kuzimia ilikuwa ni lazima kwani yaliyomkuta
yanasikitisha.
Chanzo
hicho kilidai kwamba, Wema hakutegemea kama ipo siku mama yake
atadhalilishwa kiasi hicho hadi kufikia yeye kupoteza fahamu.
“Kiukweli
ile picha ilichafua sana hali ya hewa hasa kwa wanaompenda Wema na hata
kwa wanaomchukia Wema kwani kila mmoja alikuwa analaani kitendo kile
ambacho si cha kiungwana.
“Unajua
inafika hatua unatakiwa ufahamu mama wa mwenzio ni mama yako pia halafu
usifurahie ubaya anaofanyiwa mama wa mwenzio tutukanane sisi wenyewe na
si kuwaingiza wazazi kwenye mambo wasiyojua mbele wala nyuma,” kilidai
chanzo hicho.
“Hebu
fikiria mama yako mzazi atengenezewe picha ya utupu na jamii iaminishwe
kuwa ni yeye wakati si kweli, inauma sana jamani. Utadhani huyo mtu
hajazaliwa na mama.”
TIMU DENGUE NA MKAKATI MZITO
Katika kipindi cha vuguvugu la kuchafuana kilichoanza mwanzoni mwa wiki iliyopita, kuna wachangiaji katika mitandao ya kijamii waliojiita kwa jina la Timu Dengue, walionekana kumkandia Wema.

Staa katika tasnia ya filamu Bongo Aunt Ezekiel.
Chanzo chetu kinadai kuwa, timu hiyo ina mkakati mzito wa kumchafua Wema kwa kila namna.
“Wamepanga mkakati mzito, wanadai eti Wema anajisikia. Lakini watu wanasema haiwezekani watu wafanye mambo bila sababu. Sasa hapo wanamhusisha Kajala (Masanja) kwa kuwa ndiye mtu aliye na bifu naye kwa sasa,” kilipasha chanzo hicho na kuongeza:

“Lakini
kuna wengine wanabishana, wanadai kuwa inawezekana watu wasio na kazi
za kufanya au wenye chuki binafsi na Wema wameamua kutumia mwanya huo
kumchafua Wema na familia yake wakiamini lazima Kajala atahusishwa kwa
kuwa ana ugomvi naye.”
BOFYA HAPA KUMSIKIA WEMA
Risasi Mchanganyiko iliposhuhudia picha hiyo ya utupu na kujiridhisha kuwa siyo ya mama Wema, lilimtafuta Wema kuzungumzia ni kwa jinsi gani alivyoumia baada ya kuona picha ile ambapo majibu yake alionekana bado ana maumivu makali ambayo yalidhihirisha wazi yalikuwa hayajamuisha moyoni.

“Nimeumia
sana mama yangu kudhalilishwa na si mimi tu familia yangu yote kwa
jumla, tumeumizwa sana kwa tukio lile lakini mimi nasema namuachia Mungu
kwani yeye ndiye anajua ila siyo siri ni tukio ambalo lilinifanya
niugue ghafla,” alisema Wema na kuongeza:
“Yaani
nilikuwa napewa pole nyingi sana utadhani mimi mgonjwa. Hata wale ambao
hawanipendi nao walikuwa wakinipa pole. Naomba serikali itazame upya
hili suala hili la watu kuchafuana kwenye mitandao ya kijamii.”
AUNT EZEKIEL AFANYA KAZI YA ZIADA
Katika ishu hiyo, staa mwenzake wa sinema za Kibongo ambaye kwa sasa ni mashosti, Aunt Ezekiel Grayson alifanya kazi ya ziada kumuokoa Wema na kumfariji asichukue uamuzi mgumu.
Inaelezwa kuwa, Aunt alitumia dakika 29 kumpepea shosti wake huyo ili aweze kurejewa na fahamu, jambo zoezi ambalo lilizaa matunda.

na Risasi Mchanganyiko, Aunt alisema tukio hilo limemuumiza kila mtu
hata wale ambao wanaonekana wako tofauti na Wema lakini kwa hili nao
wameumia na kuungana naye kumtetea na kuwakemea waliyofanya kitendo
kile.
Mama Wema.
“Nimeumia
kwa tukio ambalo limefanywa na kusababisha Wema wangu kulia sana hadi
kufikia kuumwa ghafla na kupoteza fahamu. Dah! Binadamu wengine sijui
tukoje, lakini hamtaweza kufanikisha kwa sababu Wema ana watu wengi
wanaompenda kuliko wanaomchukia,” alisema Aunt.
KAJALA SASA
Gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta Kajala kupitia simu yake ya mkononi ili kujibu tuhuma za kuhusishwa na picha hiyo lakini simu yake ilikuwa ikikatika kila ilipopigwa.

Baadaye ilijulikana kuwa, aliamua kuifunga kwa muda (inawezekana alikuwa sehemu inayohitaji utulivu).
Baadaye akatumiwa ujumbe uliosomeka: “Habari. Una taarifa ya picha chafu ya kutengenezwa ya mama Wema iliyosambazwa mitandaoni? Lakini unatajwa kuhusika kwa sababu una bifu na Wema, unasemaje?”

Hata
hivyo, tunakwenda mitamboni, Kajala hakujibu meseji hiyo wala kupiga
simu chumba cha habari kufafanua kuhusiana na madai hayo ambayo bado
hayajathibitishwa.
MAMA WEMA ANASEMAJE?
Jitihada za kuzungumza na mama Wema juu ya sakata hilo ziligonga mwamba kwani simu yake iliita bila kupokelewa.

Msanii Kajala Masanja aliyetajwa katika sakata hilo.
SERIKALI NAYO
Timu yetu ilijaribu kufanya mawasiliano na Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba bila mafanikio, kwani simu yake haikupatikana.

hivyo, wananchi wametoa kilio chao kwa Wizara ya Sayansi na Teknolojia
kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kudhibiti usambazwaji wa
picha chafu mitandaoni.
TUJIKUMBUSHE
Hivi karibuni, kuliibuka picha chafu katika mitandao ya kijamii za waheshimiwa wabunge, kabla ya baadaye wabunge kulaan ambazo mpaka sasa hazijulikana kuwa zilikuwa halisi au za kutengen

TAHADHARI
Kumekuwa na wingu la kuchafuana kwenye mitandao ya kijamii ambapo ukiacha watu maarufu kutengenezewa picha chafu pia wanafunzi wa vyuo wamekuwa waathirika wakubwa hivyo ni vyema kila mtu akachukua taadhari

No comments:
Post a Comment