FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday 12 June 2014

Exclusive Video: Wema Sepetu Akicheza na Kuimba Ndani ya Gari....Wimbo wa Ommy Dimpoz!!




Madame mwenye TEAM kubwa zaidi ya MAFANZI aka TEAMWEMA (Unaweza kuwaita Wapambe, Mashabiki, nk), haipiti siku bila kuokea kwenye magazeti ya UDAKU na blogu kama hii (Kwamazuzi au mabaya), Huyu sio mwingine ni MPENDWA wetu WEMA SEPETU...hahahaaha!!
Kupitia  Ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi Video Clip fupi akiwa ndani ya gari anaimba na kucheza windo wa msanii Ommy Dimpoz....Ndagushima. Hayupo pekeyake yupo na mfanya kazi wake PETIMANI WAKUACHE!!! Jionee mwenyewe!!!
Adbox