
Hali si shwari baada yamtangazaji maarufu nchini kenya Joe Muchiri
kuvamia instagram na kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kwa
Ray C. Mtangazaji huyu maarufu wa Capital F.M aliandika hivi “Ray C aka
Ray Casper the friendly ghost ..Smh who slapped her face with a bag of
flour on the face. Elephant arms ndio zake Looool momo tingz…” yaani
akimaanisha Ray C ni jini rafiki yake akimuuliza ni nani aliyempiga na
gunia la unga mweupe usoni mwake.Duh! noma sana….we unaonaje hili swala?
No comments:
Post a Comment