Video
ya Uzuri wako kutoka kwa msanii Jux imezuiliwa kurushwa kwenye vituo
vya TV kwa hapa Tanzania kutokana na sababu za zilizosemekana kuwa ni za
kimaadili.Leo hii 6/3/2014 Jux amehabarisha kuhusu video yake kuanza kupata airtime kwenye kituo cha channel O.
Cheki hii video uone wakati Uzuri wako ikipata airtime kwenye channel O
Una maoni gani juu ya usimamishaji wa baadhi ya video za bongoflava zisirushwe kwenye vituo vya hapa Tanzania?


No comments:
Post a Comment