FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 5 March 2014

LAANA YA KANGA MOKO YAINGIA MPAKA KWA WACHEZA SHOW ZA JUKWAANI


Toka umeingia huu mtindo wa lile kundi la khanga moko siku hizi kamezuka kamtindo ka wacheza show za jukwaani nao kuvaa khanga na kuonesha sehemu kubwa za maongo yao ikiwemo kufuli walizo vaaa...Hii ni laana ya khanga moko inazidi kutafuna tasnia ya sanaaaaa ....

Umati mkubwa uliofulika katika ukumbi kwenye show moja ya mziki wakishangazwa na Show ya mwanadada huyo hapo juuu baada ya show hiyo kila mtu alisikika akimponda huyo dada kwa kile alichofanya hapo jukwaani

4 comments:

  1. matako yenyewe yamekomaa kama kafilwa na punda ....
    Reply
  2. Acheni uongo nyie hiyo picha ya huyo mdada ilikua kwenye kitchen paty. Tafuteni story za kutueleza sio uongo kama huuu. Pumbavu zenu.
    Reply
  3. no matter it was kitchen party or live show at stage
    this is out of our culture
    na kinachonboa eng ao anafanya hv ni wale walovamia fan yahan talentless
    NAWACHUKIA NOUMAAAA
    Reply
    Replies
    1. LAANA TULWAAH

No comments:

Adbox