FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday, 6 February 2014

JAGUAR NOMA..AWATOA JELA WALE WAFUNGWA ALIYO FANYA NAO VIDEO YA KIOO GEREZA NI



Mwanamuziki Jaguar wa Kenya Amefanya jambo la Maana baada ya kuwatoa wafungwa wawili jela ambao aliomba afanye nao Video ya Kioo Wimbo wake unao tamba sasa...Alifanya hivyo kwa kuwalipia Fine ambazo walikuwa wana dai na hivyo Serekali kuwaachia Huru....Big Kaka

No comments:

Adbox