FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday, 24 January 2014

VIDEO MPYAAAAA KUTOKA KWA NIKI WA FT JOH MAKINI & G NAKO BEI YA MKAA, ICHEKI HAPA


 
Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje ya box’ inaweza kuwa single pekee ya bongofleva ambayo video yake imefanywa miezi 10 baada ya audio kutoka.
Joh Makini na Nikki wa II wamesema watapita hapa baada ya saa 7 kutazama maoni ya watu wa nguvu so usiache kutoa yako ya moyoni hapo chini mtu wangu

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO


BOFYA HAPA

No comments:

Adbox