FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 29 January 2014

BREAKING NEWS:. MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI


Mwili wa marehemu Ahmed Bakhshuwein baada ya kupigwa risasi.

Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya.
CREDIT: Michuzi Issa.

No comments:

Adbox