FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Monday, 23 December 2013

MSANII WA TIPTOP CONECTION AKAMATWA NA GUNIA 40 ZA BANGI SOMA MKASA MZIMA
msanii anayejulikana kwa jina deso hivi kalibuni amekamatwa na gunia 40 za bangi na mpaka sasa yuko mikononi mwa polisi katika kituo cha polisi kibaha na leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka hayo.Akiongea na blog hii ya jogoomtundu chazo cha habari mtuumiwa alikutwa na vitu hivyo katika gari akipeleka mkoani tanga 

No comments:

Adbox