FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday, 10 July 2014

PICHA ZA RIHANNA AKIWA MTAANI NA NGUO YA KULALIA ‘NIGHT DRESS’ ANGALIA HAPA DUH


Rihanna haendeshwi na matukio na wala hatabiriki katika mitindo ya mavazi anayochagua. Uamuzi wake mara nyingi huzua maswali na changamoto kwa wengi.


Mwimbaji huyo wa kike ameonekana mtaani akiwa anapiga misele na vazi la kulalia aka Night Dress na anaonekana akiwa anajiamini kama mtu aliyevaa suti au nguo nyingine inayompasa kuzurura nayo katikati ya jiji.

Post a Comment
Adbox