FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 2 July 2014

davido apewa tuzo back stage

cha kushangazaa pamoja na africa kuwa na zaidi  ya 20 zenye wasaanii zaidi ya millioni.nchi zenye watu wanao tazama na kupenda kusikiliza musiki kwa sana.africa ni moja ya sehemu ambapo watu wengi hufuatilia musiki kwa karibu sana lakinin msaani bora kutoka africa alikabithiwa tuzo yake back stage hiki ni kitu cha kushangaza sana kwa mwafrika anaye fanya vizuri kama davido kupewa tuzo back stage .

hiki ni kitu ambacho hakikuwa cha halali kabisa na fethea kubwa kwa wa africa japo kuwa si tuzo hiyoo tuu iliyoo tolea back stage kuna tuzo kama international wa uk ila ukilinganisha uk na africa ni vitu viwili tofauti mi kwa mtazamoo watu davido alistahili kupewa tuzo yake pale kwenye stage bet ili aweze kujulikamna zaidi nikimaanisha kupata expuser huwo ni mtazamoo wangu jamanii by jogoo mtundu
Post a Comment
Adbox