Muigizaji wa filamu Irene Uwoya leo alikuwa
kwenye Kikaango cha EATV/EA Radio ambapo
mashabiki huwauliza mastaa maswali kupitia
Facebook.
Hata hivyo, sio maswali yote yalikuwa ya maana.
Haya ni maswali 10 ya kipuuzi au magumu zaidi
aliyoulizwa
Thomas Muller: IRENE UWOYA mara ya mwixho
kufanya mapenzi LINI…?na saa ngp…?
Nelson Mgosi: Hivi nikweli mkuu wa kaya huko
Burundi ndio unampa penzi na anakuhonga
magari. Jibu maswari usiishie kusema mmhh
Asante Nop tunataka majibu
Malimba Manoti: dah!hivi ni kweli ulikuwa hujui
kupika ndo maana ukazinguana na shemu?
Sosthenes George: kwanini unapenda
kutuonyesha mapaja ukiwa location?
Daudi Shabani: Unajisikiaje kumuiba mume wa
mtu(msami)?
Ibra Moses Mwaisela: Irene uwoya kwann
umekula hela ya ndikumana umeona kaishiwa
umesepa zako ila malipo dunian kama
ulimpendea hela utapigwa fain hapahapa
Hashish Phill: Mambo dada hivi maisha yako
kwenye familia na mapenzi unayachukuliaje,
maake naona kama inaweza kuleta sheda hapo
kwenu kwakubadili wanaume public namna hiyo?
Alifa Rajab: Eti ni kweli wakati wa tendo la ndoa
unapenda kuingiliwa kinyume na maumbile na
ndo chanzo cha h baba kuachana na wewe?
Charlles Citty HDee: ivi irene kwann unamtesa
mumeo ndikumana namna hyo? mtu anakupenda
ivo alafu unamtenda kiasi hcho?,kwann ulikubal
kuolewa mapema kama ulkuwa unajua kwamba
ndoa hutoiweza?,alafu n kwel et unatembea na
msami?
Ally Rajabu: nataka nijue km leo umekunya kweli
km hujanya kaa kimya!

No comments:
Post a Comment