
Wimbo huo umepewa jina la La La La (Dare) na video yake tayari
imetoka na ndani yake imehusisha familia nzima ya Shakira, mwanae pamoja
na mpenzi wake ambaye ni mwanasoka wa FC Barcelona na timu ya taifa ya
Spain Gerard Pique.
Wachezaji wengine walionekana kwenye video hiyo ni Lionel Messi, Aguero, Radamel Falcao na wengine wengi itazame hapa chini…
No comments:
Post a Comment