FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday, 5 June 2014

VJ PENNY EX-GIRLFRIEND WA DIAMOND YU MAHUTUTI HOSPITALI. SOMA HAPA

ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma  na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.
DJ pENNY
Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.
penny-Asthma
Mungu amsaidie DJ Penny aweze kupona mapema na arudi akiwa mwenye  afya njema

No comments:

Adbox