BAADA ya kudumu kwa zaidi ya miaka 10, imebainika kuwa ndoa ya
mwanamuziki mahiri wa muziki wa Injili Bongo, Flora na mumewe Emmanuel
Mbasha ipo chali kwa maana ya kuanguka huku ikidaiwa kuwa, kusimama
imara tena inawezekana lakini ni kazi kubwa, Amani limefukunyua mazito
Hilo limejitokeza wiki moja baada ya madai ya mwanaume huyo kudaiwa kumbaka shemeji yake na kesi ipo polisi.
Imeelezwa Flora na mumewe ambao walifunga ndoa Agosti 22, 2002 wamepita
katika migogoro mizito lakini wawili hao walikuwa wakiyamaliza kifamilia
hadi kufikia hili la hivi karibuni ndilo lililoziba mataumaini ya
wawili hao kuishi kama mume na mke.


No comments:
Post a Comment