Huyu ni moja kati ya ma-TOP
SOCIALITE hapa Africa....Anaitwa VERA SIDIKA kutoka Kenya.. Huyu ni
miongoni mwa kidada ambao KITAULO aka MKOLOGO umembadilisha sana...leo
nimekuletea picha zake za sasa hivi na za BACK IN DAYS ujionee
mwenye....Siku za hivi karibuni mwana dada huyu ALIPONDWA na mtangazaji
wa KISS 100 FM [SOMA HAPA] kutokana na kujikoboa namna hii. Jionee mwenyewe.
Hivi sasa: Daah utazani anakunywa KAROLITI


No comments:
Post a Comment