yaonekana milimani yashangaza mno
"Safina ya Nuhu imepatikana katika mpaka wa Uturuki na Iran (Turkish-Iranian border) kilometre 32 kutoka mlima Ararat (Mount Ararat)" maneno hayo yalisemwa na kiongozi wa wanasayansi ambao wamekuwa wakifanya utafiti mahala hapo (site of the ark) kwa takribani miaka sita.
Serikali ya Uturuki (Turkish government) ilishawishika na unguduzi huo kiasi kwamba imeitenga sehemu hiyo (site of the ark)
ipate kufanyiwa uchunguzi zaidi na imeruhusu uchimbaji wa eneo hilo
ambao unatizamiwa kufanyika mwishoni wa mwaka huu wa 2009 ili utafiti wa
kina kuhusiana na merikebu hiyo ufanyike.
Sehemu hiyo isiyokuwa na makazi ya watu (site of the ark), ina chombo chenye mfano wa boti au meli kubwa iliyozikwa chini juu juu chini (upside down) resting an altitude of 2,300 metres. Ikiwa na urefu wa mita 170 (170 metres) na upana wa mita 45 (45 metres), chombo hicho kwa vipimo kinalingana na vipimo vya Safina ambayo Mungu alimuagiza Nuhu kutengeza kama kitabu cha Mwanzo 6 (Genesis 6) kwenye Biblia kinavyosema.
Wanasayansi
wa Marekani na Mashariki ya Kati wamegundua majiwe makubwa yakiwa na
matundu upande wa mwisho wa merikebu hiyo, amabayo yanaaminika kuwa ni
"drogue stones" yaliyo kuwa yakitumiwa kuifanya merikebu kuwa stable
katika ulimwengu wa nyakati za zamani. Yalikuwa yakifungwa nyuma ya
merikebu na kuvutwa.
Salih Bayraktutan,
mkubwa wa kitengo cha geology katika chuo kikuu cha Uturuki Ataturk
University kwa kupitia vipimo maalum amesema miaka ya chombo inasadikiwa
kuwa ni zaidi ya 100,000 (100,000 years).
David fasold mtaalamu wa Kimarekani wa merikebu zilizozama (an American shipwrecked specialist) asiyekuwa na dini (Atheist) ambaye amekuwa akiongoza uchunguzi huo alisema "picha za radar zilizopiga maeneo hayo (site of the ark) zimetokea vizuri sana"
Lkini
uchunguzi huo umewakwaza wakristo wengi ambao wamekuwa wakienda nchini
Uturuki kutafuta mahala ambapo Safina hiyo ilipoishia wakiamini kuwa
inapaswa kupatikana mlima Ararat (Mount Ararat).
Kuna
ambao wanaamini kuwa chombo hicho ni Safina ya Nuhu iliyozungumziwa
kwenye Biblia na Quran na wengine wanapinga kabisa kuwa siyo kila mtu
kwa maoni yake kutokana na uelewa wake. Je wewe wasema nini kuhusiana na
ufumbuzi huu? Je ni kweli unaamini kuwa Safina ya Nuhu imepatikana?
Mdau toa maoni yako kuhusiana na chombo hicho cha ajabu kilichogungulika huko mpakani mwa nchi ya Uturuki na Iran.







No comments:
Post a Comment