FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Tuesday, 3 June 2014

PICHA: YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE, SHIDA SALUM


 

Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.
Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu.
Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.

No comments:

Adbox