Siku ya leo zimesambaa habari katika
mitatandao kuwa Mwanamuziki Dudubaya Amemkata Mama yake Masikio na
amekimbia na kujificha huku Polisi wanamtafuta, Dudubaya Amehojiwa na
Gossip Cop na kusema hata yeye anazisikia hizi habari na kupigiwa simu
tu hajui chochote na wala hatafutwi na Polisi...Lakini amesema anajua
wanao sambaza hizo Story ni ndugu zake mwenyewe ambao wanamuonea wivu
baada ya kumjengea mama yake Nyumba.....
No comments:
Post a Comment