
Msemaji wa Vatican (Roman Catholic) ametangaza rasmi leo kwamba ujio wa pili wa Yesu, mtoto wa pekee wa Mungu, unaweza usitokee tena, lakini amewahimiza wafuasi wa kanisa Katoliki kuendelea na imani yao, bila kujali taarifa hiyo.
Kardinali Giorgio Salvadore aliiambia WWN kwamba hii ikiwa ni miaka 1981 ya maadhimisho ya mwisho ya kumsubiri Kristo kurudi tena duniani.
Alisema.
“It’s
been ages like. He’s probably flat out doing other really good things
for people somewhere else.” - See more at:
http://www.eacvision.com/news/jesus-is-not-coming-back-roman-catholic-leaders-said/#sthash.NG7EEo1R.dpuf
Karibu miaka elfu mbili iliyopita, Yesu aliwaahidi wanafunzi wake kwamba atarudi tena, fuatilia kitabu kitakatifu, katika sura ya Yohana 14:1-3 ya Biblia:

Vatican ilitetea ahadi ya Yesu kuvunjwa, wakidai:
Aliongeza Kardinali Salvadore.
Akinukuliwa ,Kardinal Salvadore amesema kuwa sasa kanisa litakuwa likizingatia umuhimu wa kujenga sifa yake duniani kote, lakini kuweka akili matumaini kwa ujio wa mkombozi kwa mara ya pili.
Source:fichuotz.blogspot.com
Share this article :
No comments:
Post a Comment