
Japo nyimbo hz mbili zna maana
tofauti,lakin zote zmepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na
story ya video hz mbili ni ile ile!sema mkali diamond ktk sehemu ya
familia ya mfalme ametupia wazungu,lakn mwisho wa siku wote waliopoa
mabint wa kifalme na kuwachezesha midundiko ya kiasili!chukua
hyo......!tazama vdeo zote mbili vzur ndo uje kuanza kubisha! tunakopy
kidigital siku hizi,chezea diamond wewe!
No comments:
Post a Comment