FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Tuesday, 1 July 2014

Diamond Platnumz ndiye Mtanzania Pekee aliyeweka Record Hii Huko Marekani..Cheki Hapa


Diamond Platnumz
Msanii Diamond Platnumz ameipatia nchi ya Tanzania heshima kwa jina lake kutajwa na kuandikwa sehemu muhimu za kimataifa ikiwemo kwenye jengo la Hollywood na pia kwenye record mbalimbali za BET. Akiwa ni msanii pekee kutoka Africa ya Mashariki.
 

No comments:

Adbox