hii ni NOUMA sana... mwanadada Serena Williams kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandika kama " Bikini wedding crasher!" na nyingine akaiandika kama "Wedding crasher!! Congrats" akionekana amevalia kingua cha kuogea ....Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita , Meam Beach.
ambapo Serena alikuwa aki balizi maeneo ya BICHI ..then Maharusi
walikuwa wakipiga picha ...walivyo muona wakamuita na kupiganaye
picha...
Kwa mujibu wa vyombo vya UDAKU inasemakana Serana na maharusi hao walifurahia tukio hilo...
No comments:
Post a Comment