Msanii
wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa
jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond.
Kitale
akizungumza Global TV hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo, ambao
uliambatana na picha zinazo muonyesha Penny akimbusu Kitale.
-MweusiClassic
No comments:
Post a Comment