Flora Mbasha alikuwa na
mchumba anaitwa Imma Lushanga Ambae Baba yake ni Mmiliki wa Mabasi ya
Lushanga huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki
mbili kabla ya kufunga ndoa Flora akapata safari ya kwenda UK ambako
wenyeji wake walimshauri kwamba kwa uzuri wake atapata Mume mzungu
mwenye pesa kuliko Imma yule wa Mwanza. Ili kumkimbia Imma Flora na
familia yake wakamtengenezea ishu Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi
kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye, Hii Nakumbuka ilikuwa Stori kubwa
Sana Mwanza Kipindi Hicho zaidi ya Miaka kama Kumi na nne iliyopita
mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu
Thursday, 5 June 2014
Mchumba wa Kwanza wa Flora Mbasha Afunguka, Kumbe Nae Alibambikiziwa Skendo
About Jogoo Mtundu
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment