Kama haupendi umbea ishia hapa hapa:

Kama mnavyojua mwakilishi pekee kuwahi kushiriki kutoka hapa 255 kwenye
tuzo za BET 2014 msanii Diamond yupo Marekani alipokuwa akiwania tuzo
ya msanii wakimataifa-kwa Afrika kwa bahati mbaya amekosa na msanii
kutoka Nigeria, Davido ndio amenyakua tuzo hiyo; Hongera sana Diamond
kwa kuhudhuria tena.....
Turudi kwenye mada:
Kama unakumbuka vizuri kwenye tuzo za MTVMAMA...Msanii diamond
aliongozana na KIJIJI..yani ni kundi kubwa la watu, kuanzia kina tale,
Fella, Aunt Ezekiel, na wengine kibao akiwepo mama la mama yani Wema
Sepetu:
BUT hizi za BET naona kijana amepunguza timu na hadi mama la mama
amepigwa chini yani hajaibuka nae...Ukizingatia kwamba kupitia SOSHO
MIDIA, Wema Sepetu alishaleta mbwembwe za kuwenda kwenye tuzo hizo na
kuonana na ndugu zake wanaoishi huko marekani;


No comments:
Post a Comment