Huyu ndiye Ommy dimpoz a.k.a Poz kwa Poz, Siku chache zilizopicha Ommy
alikuwa Nchini Uingereza akimsindikiza Rafiki yake Diamond Plat kwaajili
ya kufanya Video yake na Iyanya. Kama ilivyo anda ya kamera Yetu kunasa
matukio, Kamera imenasa miguuni mwa Ommy akiwa amevalia Viatu mithili
kama vimetengenezwa na Dhahabu,.
Na hii inatokana na mambo kuanza kumuendea Supa Ommy kwa kukamata Madili
ya Pesa nyingi, kupelekea kumiliki Vitu vya Gharama zaidi.

Kweli sasa tunaanza kuona Mafanikio ya Bongo Fleva!!

Kweli sasa tunaanza kuona Mafanikio ya Bongo Fleva!!


No comments:
Post a Comment